CHOMBEZO: MPANGAJI EPISODE: 06






Ilipoishia......

Kila nilipokuwa naweka barafu kwenye uti wake wa mgongo,niliona kiuno chake kikiwa kinakatika bila kuwekewa ngoma.

Songa nayo sasa..

Niliachana na zoezi la kumchora mgongoni,nikaamia kwa mbele huku kwa makusudi nikianzia sikioni kabla sijashuka kifuani.kiunoni,kitovuni na kuishia pale kwenye pango ambalo kiukweli mama yule alikuwa kabarikiwa kuwa nalo. Palikuwa hapana hata chembe ya vinywele,yaani kwa kifupi,sehemu ile ilikuwa haijui kuota nywele.
Ile mitaa ya sikioni ndiyo haswaa ilimfanya mama yule jitu zima kuanza kupiga kelele kama anaota ndoto ya kukimbizwa na hela au ndoto ya kupaa.
“Uuuuh! Priiiiii,ooooh!,aaaaah! Assssss”.Unadhani ilikuwa mchezo ukisikia sauti hizo?.Alikuwa kakolea kama chumvi ya kibua.
“Ingiza Priiiiiiinc”.Alizidi kulalamika huku akimshika P wangu na kumvutia kwenye pango lake.

Niliona kama namchelewesha. Nikatoa ile barafu pande za sikioni. Nikapeleka pande za pangoni.
Kama kawa,nilianza kama nachora chora,ila baadae nikaachana na habari hiyo na kuja katika habari ya kula cave au pango kwa kiswahili.
Ha ha haaaaa. Uwiiii. Nacheka kama mazuri nilichokuwa namfanyia yule mama wa watu. Ila kwa kuwa alitaka mwenyewe,basi wacha nicheke tu! maana alivyokuwa anajipinda pinda pale kwenye kitanda,utasema huyu mama ana mashetani au nini.
Nilikuwa namla ile cave kiustadi na kiumakini huku nikiendelea kuangalia uso wake ambao wakati wote ulikuwa umefumba macho huku mdomo ukiwa unafunguka na kufunga kama kuku mwenye mdondo.
Ilionekana wazi mama James hakuwahi kufanyiwa mautundu kama yale hapo kabla kwa sababu aliyokuwa anayasema ye mwenyewe wakati namuonesha maujanja yangu.Ha ha haaa,nyie acheni tu! Mama wa watu aliahidi kumuacha hadi mumewe,na pia aliapa kuwa hawa wakina Stela na Maimuna,atawarudisha kwao kama wakiendelea kuwa mimi,unacheza na Master P wewe.

Nilikula lile cave la mama James hadi nikamuona wazi kuwa anaishiwa nguvu za mwili na yupo tayari kumwaga unga. Hapo ndipo na mimi nilipawahi ili niende naye sawa. Ile naweka kipaza sauti changu kwenye pango,mama yule alipiga ukelele mmoja mkubwa kiasi kwamba kama kuna watu wapo nje wangetusikia,lakini uzuri chumba changu kilikuwa mbali na vyumba vya watu wengine.

Baada ya ukelele ule,mimi niliendelea na shughuli yangu hadi nikamwaga mboga. Hapo ndipo nilimkumbuka mama James na kuanza kumjulia hali.
Mwanzo nilikuwa namuita kwa mdomo,lakini hakuitika. Nikaanza kumtikisa,pia hakuitika. Niliunyanyua mkono wake mmoja juu na kuuachia,nao ulijibwaga kitandani bila juhudi zozote za mama yule kuukaza. Sikukata tamaa,niliweka sikio langu moja upande wa kushoto wa kifua chake. Mapigo ya moyo yalikuwa yapo kwa mbali sana.
Hapo ndipo ukamanda wangu ulipoanza kufifia na hofu kubwa moyoni ikianza kunitanda huku nikiwa sijui nini cha kufanya. Tumbo la kujisaidia nalo halikuwa mbali,lilikuwa linanguruma kama simba jike aliyeibiwa watoto wake.
Baada ya dakika kama moja,ndipo akili yangu ikatulia. Moja kwa moja nilichukua khanga yake na kuanza kumpepea kwa nguvu zote. Dakika tatu baadae,mama James alitoa pumzi moja ndefu na ya kutia matumaini,kisha macho yake yakafunguka.
“Prince ulikuwa wapi hadi mimi nikaolewa na hili dume jinga?”.Mama James aliongea maneno yake kwa upole huku akitamani hata kulia.
Nilishindwa cha kumjibu zaidi ya kumwambia avae nguo zake na atoke mle ndani kabla mme wake hajarudi.
“Prince nakuomba tuwe tunafanya kila siku huu mchezo. Nimepita mahala kwingi.ila hapa kwako ni Machimbo mwisho wa lami”.Mama James alizidi kuropoka mambo ambayo kwangu kwa muda huo nilikuwa naona kama ananizingua tu! Kwanza alitaka kunifia,pili ni mke wa mtu na tatu hajui mambo kama Maimuna.
“Sawa nimekuelewa Sandra. Haya vaa basi utoke. Mimi naogopa mwenzako”.Nilimpa moyo Mama James.
Alichukua nguo yake ya ndani na kisha akaiweka mwilini.Baadae akavaa khanga yake na kusimama kwa ajili ya kuanza safari ya kurudi kwake. Nilikuwa wa kwanza kutoka mle chumbani. Nilichungulia nje na kuona hamna noma,kisha nikamuita Mama James ili atoke.
Kabla ya kutoka,alinishika shingo na kunivutia kwenye kinywa chake na kuanza kunyonya ulimi wangu ambao nilimpa ili amalize haja yake,kwani ningekataa,angebaki mle.
Huyo ndiye mpangaji wa tatu kucheza naye kibaba na mama.

**************

Ikapita miezi miwili huku Mama James akiwa amewabana ipasavyo wakina Stela ili wasije kwangu.Hali hiyo ilinifanya niwe nachukia sana.Kila muda alikuwa anataka afanye ngono na mimi,wakati huo na mimi nikuwa na hamu ya kuurudia mchezo huo na Maimuna.
Mama James alianza kutoroka hadi kazini ili aje kupata penzi la kachaa mimi. Tabia hiyo ilikithiri kiasi kwamba hadi mumewe alikuwa hapati haki yake ya ndoa.Hilo nililithibitisha pale siku moja Baba James alipomuita mshenga wao na kuanza kutupa lawama hizo kwa mkewe. Hali hiyo iligonga kengele ya hatari kichwani kwangu na kuanza kutafuta njia za kuondokana na karaha za mama yule,na zaidi ni kujilinda ili nisijefumwa na mumewe.
Nilibuni njia nyingi,lakini zote hazikufanikiwa. Njia nyingi zilikuwa ni kumkwepa kwepa tu! Nilikuwa nikiondoka asubuhi na kurudi saa nne za usiku. Au kujifungia ndani siku nzima bila kutoka, na nyingine,nilikuwa naita rafiki zangu na kushinda nao pale nyumbani hadi usiku.
Yote kwa yote,hazikufua dafu.Mama James alikuwa ni bingwa wa kucheza na misemo mbali mbali,hasa ule wa nafasi moja,goli moja. Yaani pale alipopata upenyo tu! Hata chooni akiniona naenda,na yeye humo humo. Mawazo yakawa mawazo juu ya kumkimbia mama huyu ambaye alinibania kwa wakina Stela ambaye muda huo alikuwa anagongwa na kijamaa kingine.
Hatimaye suluhisho nikalipata. Suluhisho hilo lilikuwa ni kuondoka pale nyumbani na kwenda sehemu nyingine. Na bila kufikiria sana,nikapata wazo la kwenda kwa mmoja wa kaka zangu. Na uzuri wao walikuwa hawajaoa. Waliposikia nataka kwenda kuwatembelea,walifurahi sana huku kaka yangu aliyekuwa anaishi Dar,ndiyo akawa mstari wa mbele kuongea na baba ili kile chumba nachokaa waweke mlinzi ambaye atakuwa anakaa humo. Baba naye hakuwa na neno. Aliahidi baada ya wiki moja atakuja mtoto wa shangazi kwa ajili ya kuishi pale.

Siku tatu zikapita. Kaka yangu akatuma hela kwa ajili ya nauli ambapo nilipanga kuondoka baada ya huyo mtoto wa shangazi ambaye alikuwa wa kiume,kufika pale nyumbani. Sikutaka kumwambia yeyote kama naondoka,nilifanya kimya kimya huku wazo langu likiwa ni kufanya ngono na Maimuna na kisha ndiyo kuwapa taarifa wapangaji wote kuwa naondoka.

Siku hiyo ilikuwa ni Jumatatu ambapo ndiyo siku ambayo huyo mtoto wa shangazi alikuwa anakuja. Watu wote walikuwa wameenda kwenye shughuli zao kasoro mimi na Maimuna. Hiyo siku ndiyo nilisema liwalo na liwe. Nilimmendea Maimuna kwa muda mrefu sana. Sababu kubwa ya kummendea ilikuwa ni yeye kuogopa kuwa karibu na mimi kwa sababu mama James ambaye nimuajiri wake alimkataza kwa kumwambia,endapo ataonekana na mimi,basi kazi nayo itakuwa mwisho.
Baada ya mitego mingi,hatimaye mida ya saa saba mtoto Maimuna au Mai,alienda kuoga. Na mimi kitendo bila kuchelewa nikaliunga hadi chooni ambacho kilikuwa kimepakana na bafu,yaani kama ulikuwa chooni na mtu mwingine yupo bafuni basi mnaweza kusikilizana. Hatimaye Mai bafuni na mimi chooni.
Oya Mai”.Nilianza kwa kuita.
“We nani?”.Aliuliza huku kama kicheko kimembana. Nikajua kuwa amenitambua sema anazuga tu.
“Acha kuniua. Kwani hujui sauti yangu?”.
“Ahaa,kumbe wewe. Niambie”.
“Poa. Nomba nije bafuni tuongee vizuri”.
“Hee,wewe. Umeanza kuchanganyikiwa nini?”.
“Nilishachanganyikiwa toka siku ile uliponionjesha utamu wako”.
“Kuja huku haiwezekani Prince. Wewe ongelea huko huko,nakusikiliza”.
“Poa. Mimi naondoka wiki ijayo,na nimekuja huku bafuni ili japo nikuone mara ya mwisho kwa sababu nikikosa leo,sijui kama nitapata tena”.
“”Unaondoka unaenda wapi?”.Aliuliza kwa upole kidogo.
“Naenda zangu Dar”.
“Sasa hapo atabaki nani?”.
“Kuna mtoto wa Shangazi anakuja leo.Ndiyo nitamuacha”.Nilimpomjibu hivyo. Akaa kimya kiasi kama anafikilia jambo.
“Mai”.Nikamuita.
“Abee”.
“Naomba nije kukuaga”.Hapo tena akuongea neno. Na wakongwe kama sisi,hadi hapo tulishajua hamna tena habari ya sitaki. Kukaa kimya inamaanisha ndiyo au nimekubali.
.............    Episode ya 06 inaendelea  .............





(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.