Utamu wa pipi mate yako!

WAPE habari wenye habari zao. Shangingi Mstaafu nakuja kifua mbele kuwapa maneno pambe, si mnanijua vizuri eeeh! Mwaka ndio huo unaanza, wanawake mjitambue sasa! Mwanamke ujitunze uolewe sio kudanga tu miaka nenda rudi inahuu? Madanga yenyewe ya Magufuli haya yana hasira kama zote, unaweza muomba pesa akaku-tukania ukoo mzima. Bibi watu wamevurugwa kwelikweli. Mwanamke fanya kazi, usikae vibarazani kama kina mwafulani kutwa kusema watu mitaani. Yakwao hayaendi kutwa kujadili ya wenzao.
Mara ooh fulani hajaolewa, fulani kagombana na bwana’ke inawahusu nini? Amkeni amkeni, umri unawaacha vitoto vibichiii vinaolewa nyie mpo tu makurubembe sura zimewaparama kama vinyago vya mpapule. Aibu yenu hiyo, acha mimi niwafunde leo wale wanaojiona wanyonge eti kisa hawana kalio hivi nyie mmerogwa na nani? Nani kawaambia kalio ndio kila kitu kwa mwanamke? Jamani eeh, utamu wa pipi ni mate yako tu.

Unaweza ukawa na kalio lakini mume akakupiga chini uongo uongo? Wanaume nawajua mimi jamani, wanazuzuka na vitu vidogo kweli lakini ujue namna ya kuvifanya. Wewe kuwa hodari wa kumpa raha pale unapoona anapakubali. Umlee kama mtoto ikibidi, mwanaume anahitaji huduma kutoka kwako mpe kisawasawa. Uwe mbunifu wa kucheza segere. Panda juu shuka chini kumpa raha mume sio unakuwa gogo inahusu? Ukiijua silaha yako ya kumchapia mwanaume, hatokusumbua.
Unajua anapenda kuimbishwa maiki, kwa nini usiwe hodari eneo hilo. Ujue kuweka vikorombwezo ambavyo havipati mahali pengine popote isipokuwa kwako. Hawa wanaume huwa wanakolea na utundu ndio maana wengine hadi wanapitiliza kwa kutaka njia sisizo sahihi.
Wanafanya hivyo sababu wapo wanaowapa lakini shoga zangu nyie msithubutu ule mchezo wa kuruka ukuta. Tumieni njia hizihizi za kawaida lakini kwa ufundi wa hali ya juu. Yajue maeneo yake ya kumuamshia popo, basi ukikutana naye dakika sifuri tu amejaa mzima mzima anaomba mechi.

Wewe ndio una kila silaha za kumfanya mwanaume akukumbuke kila aendako. Shoga zangu mimi mume wangu hata akifikiria kutoka nje huwa anajishauri kweli maana anajua kila utundu anaotegemea kuuona huko mimi nilishamuonesha sana.
Nazeeka na utamu wangu, ubunifu ndio silaha yangu. Tukikutana kwenye maeneo yetu ya kujidai anajua segere lake si la kitoto. Anapelekwa kushoto, anarudishwa kulia halafu nampigapiga honi kila mahala hadi namuona anabadili sauti, baby, sweet sijui mama…mama mimi naongeza tu sauti mtoto wa kike mpo hapo!
Jiongezeni haya mambo yanawezekana, wewe huna kalio, kuna kitu kipo kwenye mwili wako ambacho utakitumia kama silaha ya kummaliza mwenzako. Usihangaike kutafuta makalio feki wala nini, jiamini bibi! Jamani nawapenda, tukutane wiki ijayo tena hapahapa
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: