Nora Asimulia Alivyochoma Moto Vimini
KWELI mambo hubadilika! Umemsikia mwigizaji wa kitambo kwenye tamthiliya za Kibongo, Nuru Nassoro ‘Nora’? Nora ameliambia Amani kuwa, aliwahi kuchoma nguo zote ambazo hazikuwa na maadili na za kumpendeza Mungu ikiwemo vimini. Nora amesema, baada ya kumjua Mungu kiundani, aliamua kutoa vitu vyote alivyokuwa navyo ambavyo vilikuwa chukizo kwa dini yake ya Kiislam.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: