Hivi ni kweli wanawake wote wanalazimishwa/Kushawishiwa kuingiliwa kinyume?

Hey Pals,,

I hope mko gud Ryt,,,,,

Kumekuwa na ongezeko kubwa la wanawake kushiriki mapenzi na wapenzi wao kinyume na maumbile,Na hili halina ubishi coz kila kitu kinaonekana.

Licha ya ongezeko hilo la wanawake kuingiliwa kinyume na maumbile Lakini lawama tumekuwa tukitupiwa wanaume kuwa ndo chanzo.

Mimi Nimekuwa na mahusiano na wanawake kadhaa Lakini wamekuwa na kila dalili za kunionyesha kuhitaji niwa ingilie kinyume na maumbile lakin walikuwa hawataki ile direct,na siyo Mimi tu,pia kuna mshikaji wangu Jana kafatwa na mke wa mtu kwa njia hyo hyo na mwisho wa siku ikaishia kupangwa location,,Mfano.

Moja ya njia wanayo itumia wanawake wengi ili kukujulisha kuwa anahitaji umwingilie kinyume ni hii👇

''Baby Naomba usinifikirie vibaya,kuna rafiki yangu Jana alikuwa ana sex na baby wake akawa ana mwingizia kidole nyuma,Na amenambia hajapendezwa na hicho kitendo kaniomba nimshauri ila Mimi nimemshauri waachane mana hiyo ni dhambi kubwa pia ina madhara makubwa hasa wakati wa kujifungua''

Hiyo ni moja ya njia wanayo tumia kutikisa kiberiti ili waone kidume utajibu nin,Nimeamua kuandika hyo njia ili kuokoa muda ila huwa wanatumia njia nyingi zinazo fanana na hyo ili waone utajibu nin.

Mwanamke wa hivo atakuuliza "Eti baby nisaidie nimjibu nin best yangu"

Ukimjibu "Mwambie aachane na Huyo mana anaonekana hampendi" Utashangaa anajibu huku kanyong'onyea, "Haya Sawa"

Lakini ukimjibu "Hiyo mbona kawaida baby coz hyo ndo fashion siku hizi" Utamshangaa ana changamka na kukuuliza "Mmh baby si naskia inauma sana?" Au atauliza "Baby ila naskia ina madhara, pia ni dhambi ujue baby"

Ukiendelea kukaza hapo utamshangaa ana kuuliza "Mmmh kwa hyo baby na wew umewahi kumwingilia mtu nyuma"? ukijibu ndio,na yeye atasema " Mmh mwenzio naogopa" Ukimwambia haiumi kihivo,atajibu "Mmmh ntajaribu baby"

Mpaka kufikia hapo utakuwa ushajua ujinga wa Huyo mwanamke, na chanzo cha haya yote ni makundi na kuaminishana ujinga.

NB;Sikatai kuwa hakuna wanaume wanao walazimisha au kuwashawishi wenzi wao kuwaingilia kinyume ila asilimia kubwa ya wanawake ndo chanzo cha kuingiliwa kinyume,Na chanzo cha haya yote ni makundi na kuangalia porn.

#Jimmy-The-Inimitable

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.