BINTI, KIJANA SOMA HII ITAKUSAIDIA SANA.
Moja ya vitu ambavyo vinamfanya mpenzi wako kujihisi kama humpendi ni kwa yeye kila siku kuwa wakwanza kukutafuta, hakuna hata siku moja ambayo unaamka na kuwa wakwanza kumtumia meseji au kumpigia simu. Asipokutafuta yeye unaweza kukaa hata kutwa nzima hujui hali yake. Hii sio sawa, acha kumfanya mpenzi wako kuona kama analazimishia mahusiano na wewe.
Hata kama mpenzi wako ni wale ambao ni kama alarm, ya asubuhi saa kumi na moja kashapiga simu au kutuma mseji, hembu siku moja muwahi mtumie saa kumi angalau na yeye ajihisi kuwa ulishindwa kulala ulipoamka ukamkumbuka yeye. Kuna raha ya kupendwa na kuonyeshwa kuwa unapendwa, haya mambo ya kumpenda mtu kimya kimya yanachanganya sana!
Ni mimi mwandishi rubeni nicheki whatsapp 0716528779
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: