WASICHANA MNAO OMBAOMBA HELA KWA WANAUME IMEFANYA WANAUME WASIWAAMINI WASICHANA

Tabia ya wasichana kuwaombaomba wanaume hela bila sababu imeondoa imani na heshima kwa wasichana.

Utakuta wasichana hao wana kazi, wana biashara ila kutwaa kuombaomba.

Hii tabia imefanya wanaume waone kuwa wasichana wote wanatabia hiyo hiyo.

Pia imesababisha hata kushindwa kuwapa hela wale wasioomba eti kwakuwa wanakuwa wanawapima tabia hiyo.

Enyi wasichana 'ombaomba' acheni tabia hiyo, mnashusha heshima za wasichana wote




(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.