SAVE TIME USIJIONE HODARI WA KUMSINDIKIZA MTU KWENYE NDOA/FAMILIA YAKE.
Ili ufurahie mapenzi inabidi umfanye mwenza wako akupende zaidi kuliko unavyompenda yeye,,,na ukimpenda zaidi kam hana utashina ufahamu tosha kuhusu mapenzi yako kwake,,jua utakuwa mtumwa wa mapenzi kwa udhaifu wako,,,badala ya kufurahia upendo wako,,
Kwenye mapenzi unaweza ukawa wewe unapendwa sana na mtu fulani ila wewe hupendi unapopependwa ila unapenda usipopendwa,,anayekupenda humpendi unampenda asiyekupenda,,unapopendwa wewe hutoi pesa wala zawadi na unapewa mapenzi yote na hautaki kusimamia pendo hilo,
Pale usipopendwa na kutothaminiwa ndio unashinda unatoa pesa na zawadi na bado haupendwi wala kuthaminiwa na still unang'ang'ana hapo hapo,,,hebu save time bwana,,hivi unajiona hodari wa kumsindikiza mtu kwenye ndoa na familia yake huku akikutumia kingono na mali zako,,hivi huoni na wewe kutafuta chako chenye kukuthamini na chenye malengo ya kuzaa,,,acha kuwa mateka wa kijinga hivyo,,,Mungu kakuonesha wazi kuwa hupendwi,,,,acha kujitia hodari wa kupenda usipopendwa,,umri wako unapotea hovyo,,,,hebu uokoe ILI uwe na mtu ambae atakufikisha kwenye utajiri mapema kwa heshima zote na kukuheshimu wewe na kukupa familia na watoto juu.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: