AKIKUONESHA UPENDO WA DHATI MTHAMINI





Kama kuna kitu unatakiwa kuzingatia ni kumthamini yule anayeonyesha upendo wa dhati kwako,,,,wengi tumekuwa tukichukulia poa upendo tunaopewa na wapenzi wetu,,,,unakuta unavyozidi kumuonesha mapenzi motomoto na ndio kiburi kwake kinakuwa kikubwa na kujiona kuwa yeye ndio yeye,,,,akikwambia kuwa hakuna kama wewe basi usijitie jeuri kuwa hana chaguo zaidi yako,,,bali tambua ameamua kukupa upendo wake aone utauthamini kiasi gani,,,,ukijipa kiburi na kuugeuza upendo unaopewa na mpenzi wako kama fimbo ya kumchapia basi siku akiamua kugeuza mwelekeo basi usilalamike,,,ukipendwa pendeka.



(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.