WANAUME TU:: HUKU NDIKO UTAMU WA MWANAMKE ULIPO






UTAMU wa mwanamke uko kwenye mwili wako,

UZURI wa Mwanamke upo kwenye Macho yako, lakini zaidi ya yote ni MTAZAMO WAKO kwa Mwanamke huo ndo unaweza kujua UBORA wa Mwanamke.

Mwanaume ambaye hatulii na Mwanamke mmoja maana yake YEYE MWENYEWE SIO MTAMU kwa sababu kila akilala na wanawake hahisi radha ili kutuliza hisia zake, Pengine ni macho yake ndiyo yanashindwa kutofautisha uzuri, na utamu wa hitaji lake ama ni huo mtazamo hata akashindwa kujua UBORA.

Maana umelala na wanawake wengi na wote umewaumiza kwa kuwaacha kumbe kinacho kukosesha utulivu ni kipi?

Ama ni vile walivyosema wajuzi kwamba BAMIA HAITOSHEI KWENYE BAKULI:stew:
Mwanamke ni jinsia ila swala la UBORA, UZURI, UTAMU hayo yanatokana na wewe kulingana na uhitaji na vile ulivyo,

NYAMA YA NGAMIA:dromedary_camel: UKIILA KWA MIKIKI ITAKUPALIA tafuta size yako kulingana na majaaliwa yako, Sio kila kisima kimejengewa kuna vya udongo kila kikikauka ndivyo kinavyozidi kurefuka UTAKUJA KUZAMA NGW'ANA WANHE :see_no_evil:
Usikae unaumiza watoto wa wanaume wenzio kwa kutojaaliwa UTULIVU WA NAFSI.


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.