UAMINIFU WA MWANAUME NI YEYE MWENYEWE



Baadhi ya wanawake wanapenda kuamini kuwa wanaume zao hawawezi kuwasaliti kwasababu labda wao ni wapole,wazuri,,wanayo shepu,,,,labda wanayo makalio makubwa na wanajali,,,hii sio kweli,,,,wapo wanaume wanawacheat wanawake zao wazuri kupita maelezo,,hivyo kama mwanaume wako hacheat basi sio kwasababu ya upekee wako bali una mwanaume ambae amechagua kuwa hivyo,,usaliti wa mwanaume hauhusiani kabisa na uzuri wa mwanamke,,,uaminifu wa mwanaume ni yeye mwenyewe,,,uimara wake wa kukabiliana na vishawishi,,kusimamia kiapo chake,,,aliye loyal na committed haswa,,sio jambo la mchezo mchezo.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.