STORY NZURI YA MAHABA



Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA.
Masikini kumbe jike alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda...!!
Jee...!! wewe, utamuonesha nini umpendaye ili aone ni kiac gani
.
......................... 
kipi unataka kutoka kwangu Mwez huu wa july hii?
1=Moyo wangu 
2=Tabasamu langu 
3=Penzi langu 
4=Hadithi 
5=Urafiki 
6=Muungano na mimi 
7=Msamaha 
8=Mahusiao 
9=Tuchat sana 
10=Muda wangu 
11=Kwenda kuburudika na mimi sehem 
12=Kuja kulala kwetu 
13=Kuyashirikisha maisha na mimi. 
14=Ushaur 
15=Kukuchum. 
Watumie sms hii rafiki zako woote ,uone nn wanataka uwafanyie,Lakini nijibu mm kwanza tafadhal...
........................ 
Tukiwa tupo mwezi wa 9 robo 3 ya mwaka 2013 nachukua fursa hii kukushukuru sana kwa kutumia muda wako mwingi na fedha zako ili kuwasiliana nami. Kila niliposoma sms zako zenye nasaha,mzaha,kuelimisha n.k. niligundua mambo makubwa matano
1:KUNIJALI
2:UPENDO
3:FURAHA
4:WEMA
5:KUNITHAMINI
Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya maana sn kwangu,sikuhisi UPWEKE wa kukosa rafiki katika huu uso wa DUNIA,nakuomba unisamehe nilipokosea na ninakuombea Kwa MUNGU akupe MAFANIKIO MEMA KTK MAISHA YAKO. 
......................
WEWE NI MFANO WA TUNDA GANI KATI YA HAYA?
1.EMBE-Furaha ya ndoa.
2.CHUNGWA-Mpweke lakin unatafuta.
3.LIMAU-Unampenda mtu lakin unaogopa kumwambia.
4.SHOKISHOKI-Upo ktk mahusiano ama ndoa lakin unaye mwengine ambaye unampenda.
5.PEASI-Bado unampenda mtu wako wa zaman.
6.PARACHICHI-Upo ktk mahusiano na m2 asiyekufaa na hujui ni kwann unaendelea naye. 7.ZABIBU-Mpweke lakin ni mwenye furaha
8.NANASI-Huna habari na mapenz 9.TANGO-Upo ktk mahusiano lakin hujui kitakachotokea baadae.
10.PERA-Unampenda m2 ambaye naye anampenda m2 mwengine
11.PENSHENI-Umechanganyikiwa...*Nijibu tafadhari ila Kuwa mkweli* 
.......................
"MAISHA" ni ugomvi unapoyatafuta tayari umeingia bifu na walimwengu 
"MAISHA" ni vita kali sana inahitaji maandalizi na zifuatazo ni silaha 9 Muhimu lazima uwenazo:- 
1. Jiamini na uwe na nia ya unachokitafuta.
2. Uvumilivu kwa litakalokukuta. 
3. Kuwa muaminifu kwa kila mtu. 
4. Usikate tamaa iwapo haujafanikiwa. 
5. Kuwa na malengo ktk kipato chako. 
6. Jenga upendo kwa kila mtu. 
7. Chunguza utakalo ambiwa kabla hujachukua hatua. 
8. Epuka marafiki wanaopenda starehe. 
9. Jua kuna faida na hasara! 
NAKUTAKIA MSIMAMO MWEMA. 
"nakutakia cku njema"
................................. 
Salamu ni moyo ktk "IMANI". Salamu ni uhai ktk "UPENDO". Salamu ni ufunguo wa "RIZIKI" salamu ni chakula cha "NAFSI" salamu ni "MSAMAHA" wa kudumu milele. Salamu ni kinga ya maradhi" salamu huondosha "UADUI" Hakika salamu ni"UTAKASO" wa "NAFSI". Nami nakupa wewe niliyekutunuku. *****MCHANA MWEMA!*****
.....................
..................... 
Neno gani? linaumiza zaidi kutoka kwa mpenzi wako unae mpenda kwa dhati kati ya haya:- 1.Tuachane. 
2.Sikutaki tena. 3.Nimepata mwngne. 
4.Mbona king'ang'anizi wewe. 5.Sikupendi. 
6.Wazazi wangu hawakutaki. 
7.Siwezi kua na wewe. 
8.Kama nilikosea njia tu. 9.Huna mvuto. 10.Najuta kuwa na ww. 
naomba jibu 
……………………………………. 
UKITAKA KUWA NA FURAHA KILA SIKU..fanya hivi...amini kuwa Mungu pekee ndie ana mamlaka ya kuamua lolote juu yako..na si binadamu....mpende anaekutakia mabaya kwa kuamini hajui atendalo...ishi kwa uhalisia wako na usìige maisha au mtindo wa maisha ya mtu...tii haja za moyo wako si maneno ya watu..ridhika na ulichonacho kwa kuamini ndicho mungu alichokupa na kuna siku utapata zaidi...Jipende jinsi ulivyo maana kuna wenye kasoro zaidi yako....wanaokudharau waheshim maana wanakupa uchungu wa kutafuta mafanikio...amini wewe ni bora na muhimu kwa jamii, ndio maana umeumbwa. Asubui.njema 
…………………………………………………… 
Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö,näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä salam yäkö,håkikå nitäfürähikä kuijuä häli yåko "ümzima"?. 
………………………………………………. 
Kanuni za kudumisha "PENZI" Milele. 1.Ukipenda ucpende tena. 2.Penda kwa dhati.3.Mheshimu Mpenzi wako. 4.Kuwa mvumilivu 5.Mjali umpendae 6.Jivunie kuwa nae 7.Ucmfiche jambo 8.Ucpende achukie 9.Unapokosea omba radhi.10.Uckubali kumpoteza (ukifanya hivyo mtapendana milele) nakupenda Sana. 
…………………………………………………………….. 
Mapito ni mengi, ktk maisha... Utaumia, utalia, utahuzunika, utakata tamaa, utavunjika moyo na wakati mwingine kujuta kwanini ulizaliwa, lakini kaa ukijua hayo yote yanatakiwa kuwepo ili, kukufanya jasiri ktk kuzifikia ndoto na malengo yako, usikate tamaa MUNGU yupo pamoja na wewe.UCIKU MWEMA 
………………………………………….. 
ITAKUA" Kama "NDOTO" Pale "MOYO" Wangu Utakapozima Kama "MSHUMAA" Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie "SAUTI" Yangu Lakini Utakuwa umesha chelewa, ''KILIO' 'HUZUNI' SIMANZI'' na "MAJONZI zitakuwa zimetanda ktk KUTA za MOYO wako MACHOZI Yatakutoka kila utakapo kumbuka ucheshi WANGU tkwako na MOYO Utakuwa Mpweke kila utakapoiona namba YANGU Kwenye Cm YAKO Utatamani uifute ila ROHO Itakuuma kwa KUWA Umenizoea Hivyo Jaribu Kufurahia Uwepo WANGU Kabla Sijatoweka Dunian Ata Chura Ujua Umuhim Wa Maji Pindi Yanapo Kauka Tuishi Kwa Aman Na Upendo Maish Ya Dunian Ni Mafupi%
******************************


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.