SIO KILA NDOA AU MAHUSIANO HUVUNJIKA KWA SABABU YA USALITI



Kuna muda kila mmoja anajitunza na kujiheshimu pasipo kuwa na wazo la usaliti akilini mwake,,,,lakini
Mawasiliano yakiwa finyu yaani mmoja ni wa kupiga na kutuma meseji huku mwingine kazi yake kujibu,,tena majibu yake ni kifupi,,napo mpka ajisikie,,asipotafutwa nae anakaa kimya,,,,
Heshima ikikosekana,,,,sawa unampenda na hutaki kumuacha,lakini inapofika hatua husikilizi mawazo yake,,unamchukulia kama mtoto,,huoni shida kumtolea lugha chafu,,hata kumpiga na kumdhihaki,,,
Pesa ikikosekana,,,,,,pesa ina nafasi yake KATIKA mahusiano japo iweze tatua shida ndogo ndogo na kusaidiana,,,inapokosekana ni tatizo,,,,
Uongo na kukosa uvumilivu,,,,,,unaweza achaa au kumuacha mtu kwasababu ya kukosa uaminifu na uwazi KATIKA mambo yenu,,,anaweza asiwe msaliti lakini akawa muongo kupindukia,,,uongo unapogundulika huwa maumivu kwa yule aliyedanganywa,,umesema una gari ILIHALI huna gari,,umesema utaishi nae kwa hali yoyote amekuletea mimba unaikataa,,hivyo tukae tukijua kwamba kisicho ridhiki hakiliki,,
Kama unaona kuna kinachozuia furaha yako kwa mtu uliye nae,,fanya maamuzi ya busara kujiweka pembeni kabla hujaumia au kuumizwa zaidi mbeleni,,,
Mawasiliano mazuri pande zote,,uvumilivu,,kusikilizana,,maelewano,,upendo na uwazi NA uaminifu ndo nguzo kuu KATIKA MAHUSIANO,,, kikikosekana hata kimoja basi mda wowote mtasumbuana,,,hakuna anaependa kuumizwa na MAPENZI japo wapo wanaofurahia wengine kuumizwa.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.