RAHA YA MAHUSIANO NI KUJUA KUWA MPO WAWILI NA KILA MMOJA KUTIMIZA WAJIBU KWA MWENZAKE



Habari yako msomaji wangu,, leo naomba nigusie jambo hili,,unapokuwa katika mahusiano maana yake mpo wawili na kila mmoja anahitaji kitu toka kwa mwenzake,,ba upendo wa kweli haujitazami peke yake,,vile unapenda hudumiwa basi hudumia na mwenzako,,hivyo si kila wakati unapaswa kupata kile unachokitaka wewe,,wakati mwingine ni lzima kusikiliza na upande mwingine na kuwa tayari kutoa au kukitoa unachokitamani ili kumridhisha mwenza wako,,hata kama hutaki kufanya hivyo.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.