NJAA KUBWA YA MWANAMKE NI UPENDO




Habari msomaji wangu, natumaini upo salama,,niwakumbushe kaka zangu kuwa njaa kubwa ya mwanamke katika ndoa au mahusiano ni UPENDO kuliko kitu jingine,,hata kwenye vitabu vya dini vinasema"enyi wanaume wapendeni wake zenu,ampendaye mkewe basi hujipenda na yeye MWENYEWE"mwanaume anatakiwa kujitoa kweli kumpenda mkewe,,kama tunavyojua upendo no falsafa kubwa sana katika maisha ya binadamu hivyo basi njaa ya mwanamke ni kupendwa,,wewe kama mwanaume unapaswa kumpenda mke wako kwa moyo wako wote bila kujali udhaifu wake,,wanawake wanahitaji upendo katika maisha yao ya ndoa na ndiyo njaa yao kubwa katika ndoa au mahusiano.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.