Ni kitu gani huwa hupendi mpenzi wako akifahamu kuhusu wewe katika maisha yako ?



sisi kama binadamu huwa tuna mambo mengi ambayo huwa tunapenda kuwaficha wapenzi wetu na huwa hatupendi waweze kufahamu kuhusu sisi kwa mfano ???

kwa mfano kuna wengine huwa hatupendi wapenzi wafahamu

1.tumezaliwa lini yaani umri wako

2.elimu yako ni ya kiwango gani kama ni darasa la saba,form4,diploma,degree au huna elimu kabisa

3.mali ulizonazoo umezipataje mfano za urithi,ulitafuta mwenyewe, uliziokota auvulipewa kama zawa zawadi

4.mshahara

5.kabila lako ni kabila gani maana kuna wengine huwa tunaficha kabila zetu kutokana sifa ya kabila letu

6.kabla ya yeye uliwahi kuwa na nani

7.kiasi cha fedha unachomiliki katika account yako

8.nakadhalika unaweza kuongezea zingine



mimi upande wangu huwa sipendagi mpz wangu afahamu elimu yangu na mshahara wangu wa kaziniiiii

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.