MWANAMKE UNATAKIWA KUWAEPUKA WANAUME WENYE TABIA HIZI



1.Muogope sana na mkimbie mwanaume mwenye tabia ya kuficha simu yake kila anapofika karibu yako,,huyo ni sawa na jambazi hatari
2.Mwanaume asiyetaka upajue mahali anapoishi ILIHALI anadai anakupenda,,,huyo ni kama tapeli
3.Mwanaume anayependa kukufananisha na watu wengine mfano "bby tazama mke au mchumba wa fulani huwa anapendeza sana na wewe jifunze kuwa hivyoo",,,,huyo hakupendi hata kidogo
4.Mwanaume mwenye kuogopa kujishuhulisha na maisha,,muda mwingi yeye yupo smart tu na hana kazi yoyote,,kutwa yupo na smartphone na ushabiki wa Mpira,,,,huyo hakufai
Wanaume wa namna hii huwà ni maboggars,,,nguo,,gari huwa wanaazima kuja kukurubuni tu na kuachaa,,,ni waharibifu sana
5.Mwanaume anaye ogopa kufika kwenu huku akijidai anakupenda na wala hana hata mipango ya maisha NA wewe isipokuwa anasa tu,,,,huyo pia ni kama jambazi
6.Mwanaume bahili,,,,,hapa kidogo nipaweka sawa,,kuna tofauti kati ya bahili na kushusha matumizi,,ni vyema kuwa mwenye akili sana kwenye matumizi ya pesa yako hasa mbele ya mwanamke wako au mkeo,,,,kumpa mpenzi wako kitu fulani bila hata kuomba,,huongeza mapenzi sana,,sasa wewe mwanamke una dume lenye asili ya uchoyo,,kiasi kwamba kila kitu chake unaishia kukiona au kukisikia,,basi tambua kuwa hafai na hata akikuoa hali itakuwa ile ile
7.Mwanaume anayependa starehe sana,,,,,mwanamke kama wewe kweli wahitaji ndoa ya baraka na ya kudumu na uje kuzaa watoto wema,,,,jaribu sana kuchagua mwanaume sahihi wakukuoa,,,epuka sana mwanaume anayependa starehe maana hata wewe unaweza kugeuka starehe kwake,,HIVYO WANAWAKE KUWENI MAKINI SANA.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.