Matendo yako ndo yanajenga tabia ya mpenzi wako


Mnapokuwa katika mahusiano kila mtu ana kuwa na tabia zake,,,,,lakini tabia hizo zinaweza kubadilika kutokana na aina ya watu ulionao karibu na mazingira,,,,, hivyo tabia zako zina mchango mkubwa sana katika kubadili tabia za mpenzi wako,,,,ziwe mbaya au nzuri inategemea na wew una tabia gani,,,,,,,wapo wengi waliojiingiza kufanya mambo ya siyofaa kwasababu alishawishiwa na mpenzi wake,,,,pia wapo wengi waliobadilika kutoka tabia mbaya kwenda nzuri kwasababu ya ushawishi wa mpenzi wake,,,,,wapo waliolalamika na kujutia kuwa nipo hivi kwasababu ya fulani,,,,pia wapo walioshukuru kuwa nipo hivi sasa kwasababu fulani kanibadilisha.


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.