MAPENZI YA KWELI HAYAJENGWI NA UPENDO WA SIKU YA KWANZA MLIYOKUTANA






Mapenzi halisi hayajengwi kwa upendo mliouonesha mwanzo wakati mnakutana bali ni kutokana na upendo mnaozidi kuuonesha kila siku katika mapenzi yenu katika kila hali mnazopitia,,mapenzi ya kweli yanavumilia hali ngumu pamoja na mapito mnayopitia kama wapendanao,,,,kwahiyo mapenzi yenu yatakuwa ya kweli kama mtapitia magumu ya kuwa fanya hata kutengana lakini mtapigania penzi lenu ili muwe pamoja.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.