JIFUNZE KUFANYA MAAMUZI MAPEMA



Kuna wakati unaweza kuona kuwa mahusiano uliyonayo hayakupi furaha tena,na kuna wakati unaona kabisa hakuna upendo tena katika mahusiano yenu kama uliokuwepo mwanzo,,,
Hapo ndipo unapojikuta kwamba akili inakwambia ondoka katika hayo mahusiano maana hakuna tena upendo wa dhati bali maumivu na usaliti lakini moyo unasema hapana bado nampenda mtu huyu,,
Ubishani kati ya moyo na akili ndio katika kuamua kuendelea kubaki au kuondoka ndio ambao unasababisha watu wengi sana kujikuta wanabaki na giza kubwa la mawazo na maumivu kuhusu mahusiano yao,, ,,kwa mstakabali wa maisha tako,,jifunze kuamua jambo mapema kuliko kuendelea kuliwaza na kuzalisha sumu ndani ya moyo,,dunia ina vitu vingi sana ambavyo vinakusubiri visonge mbele na wewe uweze kupiga hatua,unachelewa nini.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.