JE WAJUA WANAWAKE HUPENDA KUFANYA MAPENZI GIZANI?





Mwanamke mmoja kwa kila wanne hawapendi uke wao na hivyo hawataki uonekane na mtu mwingine, wasema utafiti.

Utafiti huo ulioandaliwa na jarida la Weight Watchers ulipata kuwa asilimia 27 ya wanawake huona aibu kiasi cha kuzima taa wanaposhiriki ngono la sivyo hakuna ngoma kabisa.

Vile vile, asilimia 75 ya wanawake walioshiriki utafiti huo nchini Uingereza walisema hwapendezwi na miili yao; asilimia 66 walisema “wameaibishwa” sana na umbo lao.

Jarida hilo lilisema wanawake watatu kati ya watano hujiepusha kabisa kutazama miili yao kwa kioo wanapovua nguo zote.

Wanawake waliokemea tabia hiyo ya kufanya ngono gizani walisema inaweza kusababisha madhara mengi, na pia huondoa ladha ya ngono.

Ian Kerner, mtaalamu wa masuala ya ngono mjini New York, America, na mwandishi wa kitabu kwa jina; “She Comes First”, alisema kuwa kukosa kumuona mwenzio wakati mkishiriki mapenzi hukunyima fursa muhimu sana ya kujisisimua kwa kushibisha macho yako!



(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.