UHURU ULIONAO UTUMIE KUJIJENGA NA KUJENGA MAHUSIANO/NDOA YAKO KATIKA MISINGI BORA
Habari yako msomaji wangu,leo nataka nikukumbushe kitu kinaitwa Uhuru ,ni vizuri kutambua muda ulionao na namna ya kuutumia ,,ni vizuri kutumia muda wako kuangalia namna utajenga mahusiano/ndoa yako katika misingi bora,tumia muda wako kumuuliza Mungu kuliko kutafuta wanadamu,tumia muda kumwomba mungu Juu ya ndoa yako na si kulalamika,kuna mambo hayawezi kubadilika hadi utenge muda kumwomba Mungu,,epuka kuwa mtu wa kulalamika na kutangaza shida zako,tafuta amani na sio ugomvi,jifunze kuwa bora itakusaidia
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: