TENGENEZA MISINGI MIBOVU NA IMARISHA ILIYOPO KATIKA MAHUSIANO YAKO
Habari msomaji wang,leo naomba niseme juu misingi ya mahusiano,msingi ndo hushikilia nyumba,ukiwa mbovu ni rahisi nyumba kuanguka na katika mahusiano najua changamoto ni nyingi,kuna wakat mnapishana na kutoelewana,yamkini kuna mambo tangu mnaanza hayakuwa sawa na imefikia hatua mnapishana mara kwa mara,,plz isiwe sababu ya kuyaendeleza bali mkae na kutengeneza,,kuna tabia ya mtu kuweka jambo akilini kuwa mtu hawezi kubadilika,hapana unatakiwa uwe na mawazo na kiu ya kuwa na mahusiano yenye furaha,,hvyo jitahidi kuondoa elements zinazopelekea migogoro kati yenu,jambo kubwa tunalotakiwa kujua katika mahusiano yetu ni kwamba kama tunapendana na kuoneana huruma hakuna atakaye kuwa tayari kumtoa machozi ya huzuni mwenzake.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: