SABABU ZA WANAUME WENGI KUFA MAPEMA




ziko sababu nyingi, ambazo zimegawanyika katika

1). maumbile, mwanamke akipata shida ni mwepesi kulia na kutoa uchungu moyoni ila mwanaume atakaza tu hata kusema kwa yeyote hataki.

2). muundo wa maisha, shida zooote za mwanamke ni za mwanaume ila shida za mwanaume ni za mwanaume pekeake. pesa zoote za mwanamke ni zake ila za mwanaume ndio za familia au ni za mwanamke.

3). maradhi, mwanamke ni mwepesi kwenda hospitali tatizo kidogo mwilini ila mwanaume akienda hospitali baaasi lolote laweza kutokea..

hizo ni baadhi tu ya mambo yanayofanya miaka ya mwanaume kupungua kwa kasi

Taja nyengine kwenye comments hapo chini

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.