MWANAUME NI KIONGOZI KATIKA FAMILIA


Habari yako msomaji wangu,leo nataka niseme na wanaume,ni muhimu kuthamini na kujua nafasi ya uongozi katika ngazi ya familia,in wajibu wako kujua mwenendo na mwelekeo wa mahusiano yako katika familia,ni wajibu wako kuhakikisha mahitaji yote yanapatikana kwa wakati ,ni wajibu wako kusimamia malengo ya ndoa yenu,kama kiongozi unatakiwa uwe mtu wa kuinua familia na sikuishusha chini,ni wajibu wako kuwa na tabia njema ya kuigwa na familia ,wengi ni waigizaji wanapoingia kwenye ndoa,wanashindwa simama katika nafasi zao,unakuta mtu anaanza kutenda vitu vya ajabu,mfano umemshawishi binti wa watu kuja kwenye dini yako baada ya wewe kuwa mfano bora unakuta mtu anafanya vitu vya ajabu hadi mwanamke anajutia kwanini alikuja huku ,kiongozi jua kuijali na kuitunza familia yako katika maadili bora kabsa,ifanye familia yako sababu ya Mungu kujivunia,ijengee misingi mizuri katika Mungu na kiuchumi,hakikisha unajipanga malengo yako yanatimia.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.