INAHITAJI MAOMBI KUPATA MWANAMKE AMBAE ATAKUWA KAMA DHAHABU
Habari msomaji wangu,nataka ujue kuwa Mungu hajawahi shindwa na hashindwi kukupa haja ya moyo wako,mwanamke ambaye ana tabia njema na ana upendo wa dhati,ni watofauti sana,nataka ujue kuwa,kuna mwanamke kumtizama tuu unasikia raha,kumgusa unasikia burudani,kummiliki unapata furaha ya milele na kusikia walau sauti yake tu unapata tabasamu.,yaani unakuwa na mwanamke hata hakuchoshi na muda wote unakuwa unamtaka yeye tu,inahitajika maombi na umakini kumpata mwanamke wa aina hii na ukibahatika kumpata kila unachogusa kwako huwa ni dhahabu.,usichoke kuomba na kama utampata usiache kumuombea
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: