DADA ZANGU NI VIZURI KAMAMKIYAFAHAMU HAYA..!


 Mwili wako sio Maonesho, kila
mwanaume auone.
 Mwili wako sio Mdoli kila
mwanaume Auchezee.
 Mwili wako sio dampo, upokee kila
uchafu wa mwanaume.
 Mwili wako sio Mali ya umma kila
mwanaume akutumie.
 Mwili wako sio kiburudisho, kila
mwanaume Ajiridhishe.
 Mwili wako sio pazia la Sebuleni,
kila mwanaume Akufunue.
 Mwili wako sio karanga za
kutembezwa mtaani kila mwanaume
Akuonje Utamu wako.
 Mwili wako ni wa Thamani sana.
Mwili wako ndio utu wako.
 Ebu Tunza Mwili wako nao
Ukutunze. Uheshimu Mwili wako nao
Utakuheshimisha.
 Si kila mtu wa kuushika Mwili
wako. Usitumie Mwili wako kama
kitegauchumi, Usitumie Mwili wako
kama dhamana ya kupata vile
unavyohitaji.
 Usitumie Mwili wako kama Njia ya
kupata Mume Atakayekuoa. Kama
Mungu amepanga Uolewe utaolewa tu
dada yangu hata bila ya kufunua Sketi
yako. Muamini Mungu Yeye ndiye
aliyeshikilia maisha yako.
 Kuna mtu mmoja tu anayestahili
kuugusa Mwili wako, kuuona Mwili
wako, kuujua Uzuri wako.. Msubiri,
Usiwe na Haraka, Mungu atamleta
kwako. Endelea Kusubiri.
 JITUNZE, JITHAMINI, JIKUBALI NA
JIAMINI..!
SHARE NA WENGINE


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.