Ulipopata mtoto wako wa kwanza ulijisikiaje..



Habari ndugu..
Naombeni kufahamu japo kidogo binafsi sina mtoto.
Sasa linapokuja suala la kumpokea malaika huyu naombeni kufahamu kutoka kwenu ambao tayari mna watoto.
Najua sio wote mlifurahia kwa sababu fulani mfano wale wanaofanya kazi ya kusafiri sana unahisi sio mtoto wako ila huna namna
Pili hali ngumu ya uchumi na huna ajira alafu hukupanga kuwa na mtoto.

Nikirudi kwenye mada ishu ni kutaka kujua swala la wewe kupata mtoto kwa mara ya kwanza ulilipokea vipi.

Na Kama huna mtoto kama mimi usiulize unacomment wapi..soma tuu

Tairus.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.