Raha ya kupenda upendwe
Ukimpenda anaekupenda raha yake ni sawa na pepo ya dunia. Hela, sura mavazi ya gharama, havina nafasi kubwa kwenye mapenzi ya kweli.
Utatambua kuwa hili ulilonalo ni penzi la kweli pale unaposoma WhatsApp, Instagram, email au sms kutoka kwake. Ikaingia mpaka chini kabisa ya moyo, ukaanza kusmile na hutaki kuifuta. Baada ya shughuli unapanda kitandani unaifungua tena na kuisoma, unairudia mpaka unapata usingizi. Hapo ni kama mmoja wenu yuko safarini.
Raha ya mpenzi akiona ujumbe kutoka kwako aujibu, akichelewa kukujibu akueleze sababu. Mnaongea kila mnapopata nafasi, hata kama mnaongea ujinga.
Raha ya kupenda upendwe, penzi la kulazimisha linachosha.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments: