Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo kuhusu mahusiano
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, natafuta rafiki awe wa kike au wa kiume wa kubadilishana naye mawazo kuhusu mahusiano, Kifupi nimewahi kuwa na boyfriend mmoja tu lakini kwa sasa hatuelewani so i need company ya mtu yeyote aliye tayari kunifundisha mambo haya ya mahusiano hasa jinsi ya kucope na situation baada ya uhusiano kuvunjika kwasababu nampenda sana huyo boyfriend wangu na inaniwia vigumu sana kumsahau na hata kucope na situation iliyopo kwa sasa, nimepata hadi vidonda vya tumbo, so yeyote atakayekuwa tayari kunishauri kwa chochote au hata kunipa ideas kuhusu hali halisi ya mahusioano
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: