Msichana Mzuri Mwenye Shosti mbaya Huwa Hivi

Kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

i mean sura,shepu na kadhalika...

sasa nije kwenye mada......


siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..

ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

huwa inanishangaza sana.....

yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.