Kuna mambo tunayajutia
Hi there!
Ok katika maisha kuna matukio yanatokea alafu baadae unajikuta unajilaumu au kujutia sana binafsi najutia kukutana na kijana mmoja ambaye tulipendana sana.
Lakini baada ya kusumbuana akawa na mawivu kupindukia nikajagundua ana mke na watoto wa3 lakini moyo wang haukuacha kumpenda hadi leo.
Pamoja na kumpenda nilimwacha aende namuwaza sana japo nimemblock kila sehemu nailaani sana siku niliyokutana nae.
Elezea na wewe unachojutia!
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments: