Justin Bieber na mpenzi wake wanunua mjengo wa Bilioni 19
Justin Bieber na mpenzi wake wanunua mjengo wa Bilioni 19
Mwanamuziki Justin Bieber na mpenzi wake Hailey Baldwin wamenunua mjengo wa zaidi ya Billioni 19 kwa pesa za kitanzania kwa ajili ya makazi yao mapya.
Imeelezwa kuwa wawili hao wamefikia uamuzi huo kufuatia ushauri wa madaktari aliopewa msanii Justin ambaye anapambana kuimarisha afya yake, hivyo anahitaji sehemu nzuri ya kupumzika ili aweze kupona vizuri.
Mjengo huo ambao unapakana na hotel ya Beverly Hills unadaiwa kuwa ni miongoni mwa mijengo mikali katika eneo hilo.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments: