House boy wanavyokula wake za watu kiulaini
Kubali kataa ila ndio ukweli lazima usemwe...
Kumekuwa na tabia siku hizi ya wanaume kujichelewesha kuoa kwa makusudi wakisema bado wapowapo...
Wakija kuoa wao damu zimelala na wake zao zinachemkaaa...
Maana wanaoa wadada wabichi huku wao umri umesongaa...
Wanaume wengine wazee ila wanaoa wadada...kazi mnayo...
Sasa nakwambia kisa hiki...
Leo mimi niliamua kujiendea saluni kutengeneza nywele...
Si unajua tena mwanamke urembo..kufika kwenye geti nje nakuta kijana anachezea kichapo cha hajaa...kuuliza naambiwa...
Huyo aliajiriwa hapo kwenye huo mjumba...ndani kuna mbaba ameoa dogodogo...
Sasa huyo dada akaona amgeuze house boy mtu wa kumtoa hamu zake...
Baba huyo kaja kusikia kachunguza mwishoe ndo kamfumania hivyo...
Sasa ndio kichapo....
Muoage wazee wenzenu...bila hivyo mtapata tabu sana..
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments: