Vijana jitahidini mdate wanawake wenye akili na sio wenye makalio makubwa.




Hii ni awakening tip kwa wanaume wenzangu.

Uli uwe na mafanikio katika maisha yako unapaswa ku date mwanamke mwenye akili na sio mwanamke mwenye makalio makubwa.

Wanawake wenye makalio makubwa ni kwa ajili ya wanaume masikini na wasio na matumaini ili wapate faraja ya mioyo yao. Ni vile wanasema masikini mpe pombe asahau shida zake. Masikini ndio wanakunywa pombe chakali, matajiri wanakunywa pombe kistaarabu hvyo huhitaji mwanamke mwenye akili.

Wanawake wenye makalio makubwa hua hawawezi kubalance makalio yao na akili yao, sehemu kubwa makalio huongoza akili. Ni watu ideal kwa wanaume masikini ili akiwa anamuangalia moyo wake unaridhika.

Hakuna mwanaume mwenye akili utakuta anamiliki mwanamke mwenye makalio makubwa, ukimkuta nae hua ni wale chapa ilale. Kipindi diamond anakuja kwenye fame, climbing the ladder of success hakua analijua hilo, akakimbilia mitako mikubwa Wema, matokeo yake kila mtu anayajua. Baada ya hapo Diamond akajifunza kua wanawake wenye makalio makubwa hawana akili sawa sawa, kuanzia hapo hajawahi kutoka na wanaaake wa aina hiyo maana ni laana.

Vijana tafteni au datini wanawake wenye akili na sio wenye makalio makubwa. Wanawake wenye makalio makubwa watakufanya ufilisike au ukose uelekeo.

Hakuna mwanaume aliefanikiwa anaemiliki mwanamke mwenye makalio makubwa. Ile falsafa ya kua kila mwanaume aliefanikiwa kuna mwanamke nyuma yake sio wanawake wenye makalio makubwa.

Nionyesheni picha ya mwanamuziki, msanii, mcheza mpira, mwanasayansi, viongozi wakubwa wa kitaifa na kimataifa, balozi, wabunifu, intelectuals au mtu mwenye ushawishi mkubwa katika jamii ambae anamiliki mwanamke mwenye makalio makubwa, majiniasi wote, hakuna hata mmoja. Wanawake wenye makalio makubwa ni laana ya kukupeleka kwenye umasikini. Unakua inawaza makalio yake tu na jinsi ya kuyahudumia, yeye pia nanawaza makalio yake tu jinsi ya kuyahudumia, mwisho unajikuta kwenye dimbwi la ufukara.


Mada inaendelea.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.