Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake
Kutoka kwa Mdau
Ushauri jamani simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: