NAOMBA USHAURI KUHUSU HALI HII MAANA IMENIATHIRI SANA
Kaka Bahati shikamoo naomba unipostie hii nitapitia coment zote.
Hii hali nilianza kama utani nikiwa darasa la nne,baadae nikazoea nikawa napenda sana yani kila asubuhi,mchana na usiku lazima nile matango.
Sasa imefika wakati nimeolewa na kila siku nakosana na Baba chanja kwa ajili ya kula tango,eti anatishia kuniacha.Ameniambia niache kula nami nimeshindwa kabisa kiukweli,yani Baba chanja anaweza cheza mechi vizuri kabisa na nikaridhika lakini bado kula tango nitakula.Yani nimefanya kila mbinu imeshindikina,nimeenda kwa waganga wamekula tu pesa.Nimeombewa lakini wapi na mme wangu kanipa mwezi mmoja niwe nimeacha kula tango,halafu mi nampenda sana sasa nitafanyaje mimi Jamani na ndoa yetu ndio kwanza ina miezi 6 tu.Hapa nimechanganyikiwa Kaka ngu naomba marafiki zako wanipe ushauri nafanyaje,sina raha jamani na wazazi wangu wakisikia itakua balaa.
WAPENDWA TUMPE USHAURI😢😢
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: