Mpenzi wangu anataka tufanye mapenzi mara moja tu kwa mwezi



Kutoka Kwa Mdau

Niende moja kwa moja kwenye mada husika, mimi ni kijana mwenye umri kati ya 28 hadi 34 hapo.

Nimetokea kuwa na mahusiano na mdada umri miaka 26, ninampenda na ananipenda lakini tatizo ni yeye anataka tunakutana kimwili mara moja tu kwa mwezi, mimi uwezo wangu ningependa iwe kila siku na uwezo huo ninao.

Sio kwamba hafurahii tendo lenyewe bali anasema ndivyo alivyo, kwa kweli hiyo mara moja tukikutana huwa anaitumia vizuri na mimi huwa naitumia vizuri sana kuanzia kumuandaa kisaikolojia hadi tendo lenyewe.

Sasa wana JF nisaidieni niendelee nae huku roho inateseka au nitafute mpenzi mwingine? Mpenzi atakayeweza kukidhi hitaji langu.

NB: Matusi sio ushauri

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.