Mchumba wangu anaforce anipitishe kwenye mtaro wa maji machafu



Aman iwe juu yenu wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Nina mchumba wangu ambaye kwa sasa Niko naye kama miaka miwili hivi na nusu

Ananipenda sana nami pia nampenda kiroho mbaya maana ananijali sana hadi nahisi kama si sawa kwa baadhi ya mambo

Toka mwaka Jana mwez wa kumi nikawa simuelewi anataka nini kipindi tuwapo kwa sita kwa sita. Analazimisha kuchukua dudu Yangu ajiwekee kwenye mtaro wa maji machafu

Siku nyingine anajifanya kama haon anaikaria kupitia mtaro wa maji machafu lakin Mimi nimekuwa nikipinga sana juu ya kitendo hiki

Huyu msichana ananichanganya sana juu ya hatima ya penz letu na uchumba wetu

Juzi kalazimisha kabisa kwa nguvu lakin nikakataa cha ajabu toka juzi nikatae naona kama penz limepungua kwa kias flan hivi kikubwa sana. Hata anavyo ongea si kama anavyoongea siku zote

Je nimfanyeje huyu binti nikubali tu anipitishe kwenye mtaro wa maji machafu ili nilinde penzi letu ambalo sasa limetetereka kwa kias kikubwa kisa tu sitaki kupita kwenye mtaro wa maji machafu

Penz Langu linaangamia kabisa



(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.