Kwa Wanandoa Tu Style Kumfikisha Mwanamke Kileleni Haraka
Utangulizi
Moja ya makosa makubwa ambayo yamekuwa yakifanywa na wanaume,ni kujifunza mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi wanawake zao wakidhania kuwa kujua namna na staili mbalimbali, ndio kunawafanya wanawake zao kufikia kileleni.
Nasema ni makosa kwasababu, wakati mwanaume yeye anapokuwana mwanamke akili yake mara nyingi huwa ni kutaka kumtomba hadi amkojoleshe, wanawake kwa upande wao, wameumbwa kutaka kuridhika na sio kukojoa tu. Na ndio maana, katika makala hii, hatutagusia mbinu za kutombana hadi umkojoleshe mwanamke, bali mambo ambayo wanawake wanayataka (wanataka kufanyiwa wakiwa kitandani), ili waweze kutosheka na raha wanazopewa na wenza wao. Inawezekana kabisa kuwa yapo mengi sana ambayo wanayataka, sohaimaanishi kuwa nilichoandika hapa ndio iwe katiba yenu katika kutombana, bali ni mwongozo na ambao umegusia yale yaliyo ya muhimu sana ambayo aghalabu wanawake wote ndio wanayataka.
Kwa yale ambayo yamepungua, wanawake wenyewe watafunguka hapa na kuyaeleza, na kwa yale ambayo wanadhani hayako sawa….ruksa kuyarekebisha pia. Otherwise, hapa ni mambo 11, ambayo mwanaume ukiyafanya kwamwanamke wako, hakika utakuwa umejijengea ulinzi wa yeye mwenyewe kujilinda dhidi ya mwizi au dokozi yeyote huko nje.
#1 – Mfanye akojoe kabla hujamuingia Inawezekana likaonekana jambo geni na la kushangaza kidogo, lakiniukweli ndio uko hivyo. Hili ni jambo ambalo wanawake wengi wangelipenda kufanyiwa na wapenzi wao lakini ambalo wanaume huwa hawalifanyi. Wengi huwaandaa wanawake kwa lengo la kuhakikisha kuwa wametepeta kwenye kuma, kwa maana ya kuwa wamelainika ili kuwezesha wao kupenya kwa urahisi, lakini wanawake wengi wangependa zaidi ya hapo.
#2 – Vumbua maeneo mengine yenye kumsisimua Ndio, sote tunajua kuhusu matiti, kisimi, kiharage, kunyonya ulimi na mengine, lakini hadithi haitakiwi kuishia hapo tu. Kama ambavyo wanaume wamezoea baadhi ya maeneo yenye kuelezwa kuwa yanamsisimua sana mwanamke, ndivyo ambavyo nao huzoea sana kusisimuliwa kupitia maeneo hayo. Hii maana yake ni kuwa, unaweza kujikuta unazama kwenye ile hali ya kuzoeleka sana, ambapo akikuona tu, anakuwa tayari anajua huyu ataanza hapa, ataishia pale na atakojoa namna hii. Hili haliwezi kumsisimua mwanamke. Mwili wa mwanamke, una maeneo zaidi ya 16, ambayo yakichezewa aukuguswa kiufundi wa kimahaba, huweza hata kumfanya mwanamke huyo kukojoa kabla ya kuingiliwa. Tumezoea G-Sport kwa mfano, lakini ni wangapi tunajua kuhusu U-Spot katika uchi wa mwanamke? Wangapi tunajua kuhusu A-Spot?….. ufahamu vizuri mwili wa mpenzi wako, na uuzingatie wote kwa ujumla wakati wa kurahatupuika naye, na hakika utakuwa shujaa wake. Matiti yakisisimuliwa vizuri ni kiungo cha ajabu kwa mwanamke!
#3 – Usiwe kama kuku Ndio, licha ya kuwa hapo awali tunaambiwa kuwa ikiwa utaweza kumfanya mwanamke akojoe kabla ya kumuingilia, unamjengea mazingira ya kukojoa haraka pindi unapomuingilia, lakini haimaanishi basi uwe kama kuku au risasi, kwamba ikishachochewa tu basi inachomoka kwa spidi isiyomithilika. Mwanaume kumudu kudumu kwenye kutiana kwa muda wa kutosha, ni moja ya mambo yenye kumjengea heshima kwa mwanamke wake na kumuona kuwayu shujaa.
#4 – Maandalizi ya kumpa mshawasha wa kuihitaji Ndio, wapo wanaume wengi tu, hatahumu Darasa La Watu wazima wanaoweza kujinadi kuwa wanajua kuwaandaa wanawake zao kwakuwawanajua kuwanyonya visimil kunyonya matiti nk, lakini ukweli ni kwamba wengi hatuko hivyo. Kama ambavyo nimetanabaisha hapo awali, asilimia kubwa ya wanaume huwachezea wanawake sio kwa lengo la kuamsha hisia zao kwa ajili ya kutiana, bali kwa minajili ya kuwafanya wapate ule ute ambao utawarahisishia wao kuingia.
#5 – Kutiana kwa ulimi/mdomo Inashangaza sana kwa kweli…wakati wanaume wengi wamekuwa wakijisifia sana kwa kuwafanyia maandalizi wenza wao, tafiti zinaonyesha kuwa, zaidi ya asilimia 70 yao wamekuwa wakieleza kuwa wanafanya hivyo kwa kutumia tu vidole vyao. Sawa na ambavyo asilimia 70 ya wanawake walisema kuwa wanadhani kwa kutumia tu viganja vyao wanaweza kumfanya mwanaume akasimama vya kutoshakuwaingilia.
#6 – Msisimue kwa kauli zako Wanaume wengi sana huwa mabubu wawapo kitandani wakihofia kuwa wapenzi wao watawafikiria namna gani vipi wakisema sema wakati wanatombana nao…lakini mbona wengine huwa wanaishia kupiga makelele wanapotaka kushusha mizigo yao? Kama unaweza kushindwa kujibana kupiga kelele wakati wa kukojoa, kwanini basi ujizuie kumpa maneno matamu matamu wakati unaendelea kumstarehesha? Nong’ona kwenye sikio lake, mweleze kiasi gani ni mtamu….hata zile oooh….sss….mmmm zako, zifanye sikioni kwake.
#7 – Jenga mahusiano ya macho yenu Hivi, ishakutokea ukakojoa ukiwa unamtizama mpenzi wako machoni kwa muda wote wa tukio hilo tu la kukojoa? Au kumtizama machoni moja kwa moja yeye akiwa anakojoa? Kwa taarifa yako, hili ni moja kati ya mambo yaliyo na raha ya kipekee ambayo huwezi kuelezeakwa maneno.
#8 – Mzingatie baada ya kumaliza kurahatupuika Jambo moja ambalo wanaume wanafanya makosa, ni kumu-ignore mwanamke punde wanapokuwa wamemaliza kutiana. Hawajui kuwa, huu ni muda ambao mwanamke anakuwa yuko wazi mno kwao, muda ambao unaweza kumueleza lolote na akakuelewa zaidi ya ambavyo angekuelewa wakati mwingine wowote ule.
#9 – Mpe fursa ya kuliongoza jahazikwa niaba yako Wanaume wengi sana wameumbwakutaka kuwa vinara kwa kila kitu, hata wanapokuwa kwenye kutiana, hupenda wao ndio waongoze kila move. Sio mbaya kwasababu wanawake nao wameumbwa kuwaongoza wanawake na hilo linaeleweka. Ni kweli kuwa una wajibu wa kuhakikisha unamgusa kila anapotaka, umfikishe kileleni anapopaota, lakini kwa upande wa pili, kuna asilimia kubwa tu ya wanawake ambao wangependa sana kupewa fursa ya wao kutawala dimba wakati wa mchezo.
#10 – Ondoa mazoea Wanaume ni watu wa ajabu sana. Wakati wanaweza kujisifia hadharani kuwa naweza kumfanya hivi mwanamke, nikamgeuza vile, nikamnyanyua hivi na vile, tafiti za kisayansi zinabainisha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume, huwa hawapendi sana kuwataka wapenzi wao kubadili staili wakati wa kutombana. Ndio, inawezekana mnatumia staili mbalimbali, lakini sio kwasababu mnaambiana, bali kwakuwa unaweza kuta leo imetokea mwanamke alijiteka kifo cha mende, basi utaendelea…kesho akijitega mbuzi kagoma kwenda, itaendelea hivyo hivyo.
#11 – Kuwa mwenye shukrani Kama ulidhani kuwa shukrani kwa mwenzako ni asante tu, basi ulikosea. Hivi, unadhani wale makahaba wanaouza miili yao kule huwa hawaambiwi asante kwa huduma zao? Wanaambiwa sana tu,lakini mbona hawawakubali wale wote wenye kuwashukuru? Shukranikwa mwenza wako inatakiwa iwe ya kivitendo zaidi.
(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
No comments: