Esma Afungukia Maisha Baada Ya Kuachwa na Petit
Dada wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Esma Platnumz amefunguka na kuongelea maisha yake Baada ya kuachwa na aliyekuwa mume Wake Petit Man.
Esma amefunguka na kusema kuachika kwake kwenye ndoa hakujamfanya akate tamaa ya kuendelea na maisha mengine ya kawaida.
Kwenye mahojiano aliyofanya na Gazeti la Ijumaa, Esma ambaye ni mama wa watoto wawili alisema kuna wanawawake wengine wakiachwa huwa wanakuwa kama wamepatwa na ugonjwa wa kuwafanya washindwe kufanya chochote maishani wakiwaza tu mapenzi, jambo ambalo halipaswi kufanywa na mwanamke anayejitambua.
Ukweli ni kwamba kuachika kwangu hakujanifanya nishindwe kuendelea na maisha yangu ya kujitafutia riziki. Kwanza nilipoachwa ndiyo maisha yakaninyookea“.
Esma alikuwa amefunga ndoa na Petit kwa miaka kadhaa kabla ya kuachana mapema mwaka jana Baada tetesi kusikika kuwa Petit alikuwa amempa mimba mwanamke mwingine.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA
KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments: