DUU HII KALI:Mpenzi anataka tufanye mapenzi watatu



Kutoka Kwa Mdau


Habari wakuu,mi na girl mpya ila kwa sasa tumezoeana kidogo km 3 monthes hv,aliniambia hanywi pombe before ila mi nakunywa km kawa,cha kushangaza kuna siku tulizinguana nikamwacha ghetto nikaenda kitaa kupiga moja moto niliporudi sikuamini kulikua na grants ndani ambayo ni yangu alikua akinywa taratibu et stress,nilikausha tu tukaelewana tukaanza majamboz akiwa kalewa kwa mara ya kwanza,game ilikua tamu sana cha ajabu aliniambia naonaje km tukifanya pamoja na msichana mwingine ye yko tayari na ananiamini sitamwacha,ki ukweli mpka leo sijapata jibu huyu ni mtu wa aina gani na anatatizo gani maana si tabia ya kawaida naombeni mawazo yenu wakuu pia yuko commited sana na mi mpka nakosa sababu ya kumtosa.

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.