Baby Kama Huwezi Kuja Kunichukua Nakuja na Tax, Utalipa, Kama Huwezi Basi Mie Siwezi Panda Dala Dala



Mdada wa mjini Akichat na Boyfriend wake:
'Baby,kama huwezi kuja kunichukua nakuja na taxi utalipa,kama hutaki basi,mi siwezi kupanda Daladala Iam a DIVA''
''Okay Baby,gari haina mafuta na sina hela ya taxi,kama huwezi kupanda daladala basi,I am a DIVA''
Hivi kuwa Diva ndo hupandi Daladala??
Babako mwenyewe anafanya Shirika la Reli anagombania gari za Tandika deile,  Eti we mwanawe Diva, Diva my beuatiful legs! 


(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.