Ogopa kuingia kwenye ndoa na mwanamke ambaye haujawahi kukutana naye kimwili (kufanya mapenzi)



Nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja ambae ana kama miezi miwili ameowaaa alikuwa akiwaasa vijana flani hivi wanapopata mabinti wajitahidi sana kabla ya ndoa basi watest mitambo kwanza.....

Nia ya mazumuni ya kuwaambia vijana ni kwasababu tangu ameowaa kitu alichokutana nacho ameshidwa kuamini kwa mwanamke wake hiyo hali imemfanya hadi anashidwa kufurahia tendo la ndoa lakini pia akawaeleza wanawake wana siri kubwaa sana huwa wanatufichaa, lakini pia wanawake wanajua madhaifu yao

Ni hayo tuu

(WAKUBWA TU 18+) JIFUNZE UFUNDI NA UTUNDU KATIKA MAPENZI UBORESHE MAHUSIANO YAKO PAKUA APP YA UFUNDI CHUMBANI , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

No comments:

Theme images by imagedepotpro. Powered by Blogger.